Maneno Ambayo Husaidia Kuamsha Hisia za Kimapenzi
Kuna mwanafalsafa fulani aliwahi kuandika katika maandiko yake akisema ya kwamba, maneno ya upendo yana nguvu sana katika mahusiano. Mtu unamwambia maneno mazuri na matamu katika mahusiano hujenga hisia mpya za kimapenzi.
Hivyo kila wakati unatakiwa kujifunza kumwambia maneno yafuatayo mpenzi wako ili kujenga hisia za kimapenzi :
- Umenifanya niwe mtu bora
- Umenifanya nijisikie Kupendwa
- I love you so much.
- Kila niwapo na wewe najisikia vizuri.
- Sitasubiri kukuona tena.
- Napenda kutumia muda mwingi na wewe.
- Napenda niwe wako.
- Hakuna mtu anaweza kunipa amani nipatayo kwako.
- Napenda uso wako.
- Nashukuru kukuona
- You’re so beautiful/handsome
- Unanijali vizuri
- Unanifundisha vitu vipya kila siku
14.I love how funny you are
- Unanitaka niwe mwenza bora, naweza kuwa hivyo kwa ajili yako
- Asante kwa kuwa nyuma yangu kila mara.
- Napenda uwepo wako
- You’re amazing
- Wewe ni mtu wangu pekee katika sayari hii
- Kuwa na wewe napata furaha
- Unaufanya moyo wangu utulie
- I feel so loved by you
- Napenda jinsi ulivyo mtu wa fikra
- Mara zote unanipa ushauri mzuri
- Maisha ni mazuri nikiwa upande wako/ukiwa upande wangu
- You’re the best
- Kamwe sitaki kuwa na mwingine lakini wewe.
- Wewe ni familia ambayo nilitaka niwepo.
- Kila wakati unajua kitu kizuri cha kusema
- Napenda maisha tuliyonayo pamoja
- Siamini jinsi nilivyo na bahati ya kuwepo na wewe.
- Sijawahi kusikia hali hii niliyo nayo kuhusu wewe
- Unanifanya niwe mwanamke bora/mwanaume bora kwa sababu niko na wewe.
- Napenda jinsi ulivyo na akili
- Wewe ni mwenza mzuri
- Nafurahia ninapokuwa na wewe
- You’re incredible
38.Una akili sana
- Unaufanya moyo wangu ushibe
- Kila niwapo na wewe nina furaha
- Nakutamani
- Umeniletea furaha
- Sihitaji mtu mwingine ni wewe
- Tukue sote pamoja
- Nashukuru kukupata
- Najisikia vizuri ninapokuwa karibu yako
- Najisikia kupata msaada mkubwa kwako
- Maisha ni mazuri sana nikiwa na wewe
- Sitaboreka nikiwepo na wewe
- You make me so happy.