Nyota Stephane Aziz Ki anayekipiga Wydad Casablanca akitokea Yanga kwenye Kombe la Dunia la Vilabu amecheza dakika 11 tu akiwa na jezi ya timu hiyo.
🏟️ Mechi _________2
⏱️ Dakika_________11
⚽ Mashuti_______3
▫️Aliingia sub dakika ya 87’ dhidi ya Juventus akichukuq nafasi ya Fahad
▫️Aliingia sub pia dakika ya 84’ dhidi ya Man City akichukua nafasi ya Lorch , kwenye mechi hii ziliongezwa dakika 2 hivyo alicheza dakika 8 tu na kufanya jumla ziwe dakika 11

