Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • Sports News
  • Maskini Kocha Hemed Morocco Afunguka Sababu ya Taifa Stars Kupokea Kichapo Kutoka Kwa Niger
Sports News

Maskini Kocha Hemed Morocco Afunguka Sababu ya Taifa Stars Kupokea Kichapo Kutoka Kwa Niger

September 10, 2025 Udaku Special

Baada ya mechi, Kocha wa Taifa Stars, Hemed Morocco anasema kilichoigharimu timu hiyo ni uchovu kwa wachezaji huku nahodha Mbwana Samatta akiipongeza Niger “wametupa mchezo mzuri”

Samatta pia amewataka wachezaji wenzake wa kikosi hicho wajitahidi kusahau haraka matokeo ya mchezo huu

Kwa upande wake Kocha wa Niger, Ibrahim Zacharia amefichua siri ya ushindi wao wa dhidi ya Tanzania.

FT: Tanzania 0-1 Niger

Related Posts

HABARI ZA SIASA Sports News

Taarifa Mpya Kutoka Bungeni Kuhusu Waziri Mkuu Mpya wa Tanzania

November 12, 2025November 12, 2025 ajirayako
Sports News

Huyu Hapa Golikipa Mwenye Mafanikio zaidi Tanzania

November 12, 2025November 12, 2025 ajirayako

Post navigation

Previous: MSIMAMO wa Kundi la Taifa Stars Kufuzu Kombe la Dunia 2026
Next: Jakaya Kikwete Akanusha Kuwepo Kwenye Gari Lililopata Ajali Msafara wa CCM

Popular Posts

  • Hizi Hapa Hesabu Konki za Yanga Kufuzu Robo Fainali Klabu Bingwa

  • Mangungu Noma na Nusu Awajibu Wanaotaka Ajiuzulu

  • Uhasama Usioisha: Kwanini Donald Trump anamchukia sana Barack Obama

  • Kesi ya Tundu Lissu Yapigwa Kalenda Mpaka February 11

  • Tahadhari ya Mvua Kubwa Mikoa sita, Wananchi Watahadhirishwa Kukaa Kiaskari

  • Wekundu wa Msimbazi Simba Waumaliza Mwendo Ligi ya Mabingwa Afrika

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.