
Baada ya mechi, Kocha wa Taifa Stars, Hemed Morocco anasema kilichoigharimu timu hiyo ni uchovu kwa wachezaji huku nahodha Mbwana Samatta akiipongeza Niger βwametupa mchezo mzuriβ
Samatta pia amewataka wachezaji wenzake wa kikosi hicho wajitahidi kusahau haraka matokeo ya mchezo huu
Kwa upande wake Kocha wa Niger, Ibrahim Zacharia amefichua siri ya ushindi wao wa dhidi ya Tanzania.
FT: Tanzania 0-1 Niger
