Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • MATOKEO Yanga Vs Azam, Ngoma Nzito Sana Dakika 90
HABARI ZA MICHEZO

MATOKEO Yanga Vs Azam, Ngoma Nzito Sana Dakika 90

March 15, 2026 Udaku Special
MATOKEO Yanga Vs Azam, Ngoma Nzito Sana
MATOKEO Yanga Vs Azam, Ngoma Nzito Sana

Shughuli pevu imemalizika katika dimba la Benjamin Mkapa kwenye Dabi ya Jiji la Dar es salaam, wenyeji, Azam FC wakitoshana nguvu kwa sare tasa dhidi ya Wananchi, Young Africans Sc kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara.

Wananchi wanaendelea kusalia kileleni alama 36 baada ya mechi 14 huku Wanalambalamba wakikwea mpaka nafasi ya pili alama 28 baada ya mechi 14.

FT: AZAM FC 0-0 YANGA SC

FT: Mbeya City 1-4 Singida Black Stars

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Jonathan Sowah Atoa Majibu Kuhusu Tuhuma Zinazomkabili Simba

March 15, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Kivumbi Leo, Dabi ya Yanga na Azam Kutimua Vumbi Leo

March 15, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Jonathan Sowah Atoa Majibu Kuhusu Tuhuma Zinazomkabili Simba

Popular Posts

  • Polisi Pwani Kuhusu Bawacha “Walikuwa Wanaenda Kutekeleza Uhalifu”

  • Iran yasema Uwezo wake wa Makombora ni Mkubwa kuliko ‘Maadui’ wanavyodhani

  • “Mpenzi Wangu Aliniambia Mimi si Mtamu, Maji Maji” Linda Kutoka Dar es Salaam Kulia Kwa Uchungu

  • “Kuja Babe Nikupee Kuliko Bibi Yako” Neema Kusimulia Kilichompata Na Kumwacha na Huzuni

  • Mwanamke Afariki kwa Upasuaji wa Kuongeza Makalio Huko Nigeria, Upasuaji wake Ulileta Shida hii

  • Depu Atupia Hat Trick Yanga Wakiifuata TMA Stars 16 Bora

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.