Max Rioba anahitaji msaada wa Mil 108 kutibiwa nje

Max Rioba anahitaji msaada wa Mil 108 kutibiwa nje
Max Rioba anahitaji msaada wa Mil 108 kutibiwa nje

Meneja wa zamani wa wasanii na Digital Creator Max Rioba anahitaji msaada wa Dola 42,000 (Tsh Milioni 108) za kwenda kutibiwa nje ya nchi kutokana na tatizo la Achalasia linalomsumbua kwa muda mrefu.

 

Tatizo hilo hutengeneza uvimbe kwenye koo ndani ya njia ya chakula karibu na chembe ya moyo,kupelekea shida kumeza chakula, maumivu, kupungua sana mwili na kuteseka hasa wakati wa kula.

Gharama hizo ni za matibabu yake na nauli ya watu wawili kwenda na kurudi hivyo anahitaji msaada huo ili kuokoa maisha yake.

Zaidi tembelea page yake ya Instagram Max Rioba kuona utaratibu wa kuweza kumchangia msaada huo

Related Posts