Mbeya City Wamebaki Ligi Kuu, Paredi Lianze Wapi?

City Wamebaki Ligi Kuu, Paredi Lianze Wapi?
City Wamebaki Ligi Kuu, Paredi Lianze Wapi?

Klabu ya Mbeya City imefanikiwa kusalia Ligi kuu ya soka ya NBC Tanzania bara kufuatia ushindi wa jumla wa 2-0 dhidi ya Wajelajela, Tanzania Prisons kwenye michezo miwili ya mchujo (playoff) wa kusalia Ligi kuu.

Mbeya City iliibuka na ushindi wa 2-0 kwenye mchezo wa kwanza kabla ya kutoshana nguvu kwa sare tasa kwenye mchezo wa pili katika dimba la Sokoine, Mbeya huku Wajelajela wakielekea kwenye mchujo wa pili dhidi ya Timu ya Polisi Tanzania kutoka Championship ili kujinusuru kushuka daraja.

FT: Tz Prisons 0-0 Mbeya City (Agg. 0-2)

Related Posts