
Msanii Wa singeli #Mejakunta amefunguka Namna Anavyokerwa Na Tabia Ya Msanii #Babalevo Ambaye Anaona Yupo Katika Kimvuli Cha #Diamondplatnumz
โUpendi Mtu Akifanikiwa Unatamani wabaki Haohao Kilasiku Mimi Ulinisema Vibaya Sana Na Nilijisikia Vibaya Sana Kwa Heshima Yangu Kwako na Utu But Nikakumbuka Wewe Unatabia Mbaya Ya Kufurahia Na Kuwatabilia wenzako Mabaya (Acha) Bro Kuna Leo Na Kesho Ujui Nani Atakuja Kuwa Msaada Wako .
Sisi Sote Tunajua Mengi Mabaya Yako Na Tunaishi Na Wewe Na Kukufichia Yako Nawe (Badilika) Acha Kuwaongelea Wenzako
Waliofanikiwa Vibaya Kwa Maslahi Yako Binafsi Kwa Mgongo Wa Watu Wengine lonekane Mtu Anakushambulia Kisa Mtu fulani Sote Tuna Heshimu Mchango Na Kazi Kubwa Ya #diamondplatnumz Kwenye Hii Industry usilazimishe (Heshima) Watu tuna Shindwa Kukuchukulia Hatua Sababu Upo Kwenye Kimvuli Cha #diamondplatnumz Sio Tabia Nzuri #mbosso Upo Sahihi Sana Unahaki Ya Kuongea๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝโ
Ameandika MEJA KUNTA

