Mke wa Mkubwa Fella Avunja Ukimya Kuhusu Hali Mbaya ya Mumewe, Wasanii Kumtenga

Mke wa meneje wa WCB Mkubwa Fella, Sweet Fella ameshangazwa na ukimya wa wasanii na wadau wengine wakati ambao meneja wa Mkubwa na Wanae Said Fella ambaye anaugua kwa mwaka wa pili sasa.

Mume wangu kuugua ni ibada mimi mke wako nipo pamoja na wewe mpaka dakika za mwisho ulipo mm nipo ……..::::: leo hii akuna mtu yoyote anayekuuliza hari lakini mm najuwa mambo yotee Uliyowafanyia na wanajuwa yote hila wanajizima data woote uliyowasaidia na pia wanaonisapot nawatambua inshallah Mungu atawalipa kwa hicho mnachojitolea Mungu awasaidie🙏 Namuombea Mume wangu apone atakuja kuongea mwenyewe yotee 🙏 kwa kifupi simfagilii mtu yoyote nitapambana mwenyewe na watu ambao wanaonipa sapot nitakuja kuwashukuru badae nitawataja na majina yao kwa sapoti🙏

Ameandika Sweet fella.

Related Posts