Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • Ajali
  • Moto Mkubwa Wateketeza Soka la Kawe Dar es Salaam
Ajali

Moto Mkubwa Wateketeza Soka la Kawe Dar es Salaam

September 15, 2025September 15, 2025 Udaku Special

Moto mkubwa ulizuka na kuteketeza Soko Kuu la Kawe lililopo eneo Ukwamani, kuanzia mida ya usiku wa saa kuamkia leo.

Kwa mujibu wa mashuhuda wamesema, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lilifika eneo la tukio mara baada ya taarifa kutolewa na walijitahidi kuokoa baadhi ya mali lakini asilimia 70 ya mali zimeteketea kwa moto huo.

Chanzo cha moto huo hakijafahamika mpaka muda huu.

View this post on Instagram

A post shared by Maulid Kitenge (@maulidkitenge)

Related Posts

Ajali

Lori Lateketea Barabara Morogoro Iringa, Mmoja Ahofiwa kufa

March 19, 2026 Udaku Special
Ajali

Dala Dala Yawagonga Watu Wawili Akiwemo Askari wa Usalama Barabarani

February 11, 2026February 11, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: INEC Yamuondoa Mpina Kwenye Kinyang’anyiro cha Urais
Next: Tazama Video Jinsi Mwanariadha Alphonce Felix Simbu Alivyoshinda Medali ya Dhahabu

Popular Posts

  • Mbinu 5 za Kumfanya Mwanaume Ageuke Kuwa Sumaku Kwa Wanawake

  • Mbinu Nzuri Ya Kutongoza Kwa Wale Wanaoanza Kujifunza

  • Wastara Amlipua Vibaya Dudu Baya Baada ya Kumuita “Ombaomba” Amwambia haya mazito “uweke na namba”

  • Kazi ya Shanga Kiunoni Mwa Mwanamke

  • Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

  • Basata Wamfungia Miaka Mitatu Mwanamuziki Halima wa Kibao Kata

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.