Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • Ajali
  • Moto Mkubwa Wateketeza Soka la Kawe Dar es Salaam
Ajali

Moto Mkubwa Wateketeza Soka la Kawe Dar es Salaam

September 15, 2025September 15, 2025 Udaku Special

Moto mkubwa ulizuka na kuteketeza Soko Kuu la Kawe lililopo eneo Ukwamani, kuanzia mida ya usiku wa saa kuamkia leo.

Kwa mujibu wa mashuhuda wamesema, Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lilifika eneo la tukio mara baada ya taarifa kutolewa na walijitahidi kuokoa baadhi ya mali lakini asilimia 70 ya mali zimeteketea kwa moto huo.

Chanzo cha moto huo hakijafahamika mpaka muda huu.

View this post on Instagram

A post shared by Maulid Kitenge (@maulidkitenge)

Related Posts

Ajali

Ajali Mbaya Morogoro Yaua Watatu, Wengine Watano Wajeruhiwa

April 23, 2026 Udaku Special
Ajali

Moto Mkubwa Wateketeza Maduka Ubungo Mawasiliano

April 5, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: INEC Yamuondoa Mpina Kwenye Kinyang’anyiro cha Urais
Next: Tazama Video Jinsi Mwanariadha Alphonce Felix Simbu Alivyoshinda Medali ya Dhahabu

Popular Posts

  • Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa Sheikh Sharif Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

  • Ukweli Kuhusu Tukio la Ndege Iliyopotea Angani na Kurudi Tena Duniani Baada Ya Miaka 35

  • Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

  • Simba SC vs Yanga SC kiingilio hiki hapa Kariakoo Dabi

  • Resty Bura awachana wanaosema kaiba pesa za gari la Upendo Nkone, Aeleza yote, Azindua duka Lavista

  • Al Ahly Yailaza Zamalek 3 – 0 Dabi ya Cairo

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.