βTume fanya nae mazoezi kwa muda mrefu tunajua yupo fit lakini hana match fitness, bado hawezi kucheza kwa dk90 na ukizingatia kuna mechi kila baada ya siku mbiliβ
Bado kuna safari ndefu ilikuona ubora wake tuna tegemea itachukua michezo 8 mpaka 9 ili kuona ubora wakeβ
Amesema Fadlu Davis Wa Simba sc
.

