Mrembo Akamatwa Akiweka Viagra Katika uji

Mrembo akamatwa akiweka viagra katika uji

Baadhi ya watu hutumia mbinu zisizo halali ili kuvutia wateja katika biashara zao, kuna muda baadhi ya mbinu hizo huongeza vitu vyenye madhara kwa bidhaa zao ambazo wanauza.

Ndicho alikuwa anafanya mfanyabiashara wa vyakula katika ya mji ambaye alinaswa akiongeza dawa za kuongeza nguvu za kiume aina ya viagra na bangi kwenye uji wake.

Mfanyabiashara huyo aitwaye Fetty, hadithi yake ni mfano wa kushangaza wa jinsi udanganyifu unavyoweza kuhatarisha maisha ya watu wasio na hatia ambao hutoa fedha kununua huduma fulani.

Mrembo huyo ambaye alikuwa anafanya shughuli zake katika stendi ya mabasi ya OTC alikamatwa kwa mara ya kwanza baada ya…SOMA ZAIDI HAPA

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *