Musalia MudavadiMusalia Mudavadi

Musalia Mudavadi: Ukorofi Wako Kenya Usiupeleke Huko nje, Utaishia Airport

“Wametembea, wamejaribu kwenda kuleta mchezo wanaoleta hapa katika manchi jirani, nini kimetokea?, tukiambia Waty that Kenya is so democratic they don’t believe it”

“Watu wanatoka katika Taifa zingine wanakuja kufanya maandamano hapa, haya wamejaribu, hawakutoka kwa Airport, wameambiwa rudi kwenu, kama mnachezea kwenu mwende muchezee kwenu hapa hatutaki”

“Hii ndio nimekuwa nikiambia Vijana wetu wakati mnaenda nje the moment unaingia kwa ndege na hizo miguu za ndege ziinuke sheria inakuwa ya nchi unayoenda kushuka, sheria ya Kenya haitofanya kazi kule, kwahiyo kama wewe ni Mkorofi hapa na ufikiri utafanya hivyo huko, My Friend haitowezekana” —- Waziri Kiongozi Baraza la Mawaziri Kenya, Musalia Mudavadi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *