Kwenye kundi B timu zote zimecheza mechi 3 ,droo ya bila kufungana leo kati ya FAR Rabat na Kabylie imewapa matumaini zaidi Yanga kuweza kufuzu Robo Fainali
Bado mechi 3 , katika mechi hizo 3 Yanga SC amebakisha mechi 2 nyumbani
Vs Al Ahly
Vs Kabylie
Na moja ugenini Vs FAR Rabat … ni wao tu Yanga kupiga hesabu zao vyema na kujiandaa vizuri
