AFCON 2025 | MOROCCO 🇲🇦
𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 :
NIGERIA 🇳🇬 4-0 MOZAMBIQUE 🇲🇿
⚽️ 20” Lookman
⚽️ 25” Osimhen
⚽️ 47” Osimhen
⚽️ 75” Adams
Nigeria ndio timu inayoongoza kutoa vichapo haijwahi kufungwa wala droo , Msumbiji ndio timu iliyokula kichapo kikubwa hadi sasa
LOOKMAN ana kila dalili za kuwa mchezaji bora wa mashindano labda mambo yabadilike mbeleni
