Jina langu ni Said. Kupoteza wazazi wote wawili ni pigo zito na simanzi kubwa, lakini kitendo cha ndugu na jamaa za karibu kugeuka kuwa maadui na kutaka kukunyang’anya mali ulizoachiwa na wazazi wako ni mateso yanayoweza kukuharibia kabisa uelekeo wa maisha.
Baada ya msiba wa wazazi wangu, mimi na wadogo zangu tulibaki tukitegemea shamba kubwa na nyumba ya familia aliyoiacha marehemu baba yetu kama msingi wetu pekee wa maisha.
Hata hivyo, miezi michache tu baadaye, wajomba na ndugu wa baba walijikusanya na kuanza kuweka vikao vya siri; walitengeneza nyaraka za uongo na kudai kuwa baba aliwauzia shamba hilo kabla ya kufariki, huku wakitutaka tuhame kwenye nyumba yetu mara moja.
Nilibaki nikilia na kufadhaika mno, nikitazama jinsi wadogo zangu walivyokuwa wakienda kutupwa mtaani bila huruma na watu wao wa damu.
Nikiwa kwenye majonzi makubwa na nikijaribu kupambana kisheria bila kuwa na uwezo wa kifedha wa kugharamia mawakili, jirani yetu wa siku nyingi aliyekuwa akitambua uonevu huo alinitembelea. SOMA ZAIDI.
