Nature

Niffer na Wenzake Kufikishwa Mahakamani leo

Watuhumiwa wa kesi za uhaini akiwemo Mfanyabiashara Jeniffer Jovin ‘Niffer’ na wenzake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kesi yao.

Kesi ya Niffer na wenzake 21 ipo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya ambaye leo anatarajiwa kutoa uamuzi juu ya mapingamizi ikiwemo uhalali wa hati ya mashtaka katika kesi hiyo.

Watuhumiwa wa kesi ya uhaini akiwemo Mfanyabiashara Jeniffer Jovin ‘Niffer’ na wenzake wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kesi yao.

Kesi ya Niffer na wenzake 21 ipo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Aaron Lyamuya ambaye leo anatarajiwa kutoa uamuzi juu ya mapingamizi ikiwemo uhalali wa hati ya mashtaka katika kesi hiyo.

Related Posts