Nilitengwa na Kudharaulika kwa Kukosa Mtoto kwa Miaka Mingi, Mpaka Tiba ya Asili Iliponibariki Pacha

Kupata mtoto na kuunganisha familia ni ndoto ya kila mwanandoa, lakini safari hiyo inapokumbana na vizuizi na kuchukua miaka mingi bila matunda, ndoa huanza kuingia kwenye nyufa na maumivu makubwa.

Baada ya kufunga ndoa na mume wangu, tulikuwa na hamu kubwa ya kupata mtoto wetu wa kwanza. Hata hivyo, miaka ilianza kupita mmoja baada ya mwingine bila dalili yoyote ya mimba.

Taratibu, furaha na amani zilianza kutoweka nyumbani kwetu, zikibadilishwa na maswali ya kejeli, maneno ya shombo, na dharau kutoka kwa ndugu na majirani waliotutenga na kuniona mimi kama mwanamke asiye na thamani.

​Nilitumia fedha nyingi kutembelea hospitali mbalimbali kubwa na ndogo, nikifanyiwa vipimo vya kila aina na kutumia dawa za hospitali kwa miaka mingi bila mafanikio yoyote.

Kila mwezi ulipopita bila matokeo, nilijikuta nikitumbukia kwenye msongo mkubwa wa mawazo na vilio vya usiku kucha.

Mume wangu alianza kubadilika na kupata shinikizo kubwa kutoka kwa familia yake wakimtaka anifukuze au aoe mke mwingine wa kumzalia watoto.

Nilibaki kwenye maumivu makali, nikihofia ndoa yangu kuvunjika na kuachwa peke yangu nikiwa na aibu na simanzi tele. SOMA ZAIDI.

Related Posts