Bao 5 Chache, Simba Wakitoa Sare Aprili 20 Wachinje ngamia saba
Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amesema kuwa iwapo hakutakuwa na mambo mengine nje ya uwanja badi timu hiyo itawafunga watani zao Simba SC zaidi ya bao 5…
Habari Mbali Mbali za Udaku, Michezo na Siasa Kutoka Tanzania
Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara amesema kuwa iwapo hakutakuwa na mambo mengine nje ya uwanja badi timu hiyo itawafunga watani zao Simba SC zaidi ya bao 5…
UONGOZI wa Singida Fountaine Gate, umeendelea kusisitiza kuwa nahodha wao Beno Kakolanya ni mtoro kambini, huku pia wameweka wazi kuwa wanafanya uchunguzi kwenye suala la upangaji wa matokeo. . “Alichofanya…
EDO Kumwembe “Fiston Mayele Anaumia Sana Kuona Yanga inafanikiwa Bila yeye” Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliajiwa Pyramids Fc ya Misri, Fiston…
MATOKEO ya Yanga Vs Singida Big Stars Leo Tarehe 14 April 2024 Singida Big Stars inacheza na Young Africans kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ya Tanzania Bara Aprili 14.…
KIKOSI Cha Yanga Vs Singida Big Stars Leo Tarehe 14 April 2024 Singida Big Stars inacheza na Young Africans kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ya Tanzania Bara Aprili 14.…
Kocha Bechikha Bechikha ni kocha wa makombe,kabla ya kuja Simba alipita kwenye timu (24) tofauti na huko alifanya balaa. Mfano akiwa Club Africain ya Tunisia alifanikiwa kuwapa ubingwa wa ligi…
Mwamba anapitia wakati mgumu sana , katoka kuwa Champion wa CAFCC msimu uliopita na USMA then kachukua Super Cup mbele ya Ahly …. Lakini kwenye majukumu yake mapya akiwa na…
Simba na Ihefu Wametoshana Nguvu Kwa Goli 1 Kwa 1 , Ihefu walianza Kupata Goli kipindi Cha kwanza na Simba kipindi Cha Pili wakarudisha Mnyama anao hali mbaya aisee !……
Fiston Mayele na Mrisho Ngassa Aliyewahi kuwa Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Mrisho Ngasa, amemshauri Mshambuliaji wa Pyramids, Fiston Mayele aliyewahi kuitumikia Yanga, kumalizana na watu waliomkosea kuliko kupambana na…
Yanga Yanga Hali Tete, Yafungiwa na FIFA Kusajili, Kisa na Mkasa…… Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira…
“Mkataba wangu wa kwanza Yanga haukuwa mzuri nilikuwa hata siwezi kuondoka, nilikuwa sijui kingereza, meneja wangu nae hajui kingereza anacheka cheka tu na viongozi, mkataba ulikuwa mgumu, mimi nimesaini tu…
Mchezaji wa Zamani wa Yanga na Sasa Pyramids Fiston Mayele ameeleza kuwa alipitia hali ngumu sana Kimwili na Kisaikolojia, kwani kabla ya kwenda kusaini mkataba katika klabu ya Pyramids ya…
Timu za TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Esperance ya Tunisia zimefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuzitoa ASEC Mimosas ya…
Baada ya kuishuhudia Timu yake ikifuzu kwa mbinde kwa changamoto ya ,mikwaju ya penati 3-2 dhidi ya Yanga mchezo wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa. Kocha wa Mamelodi Sundowns,…
Yanga SC walisimama imara dhidi ya Mamelodi Sundowns katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini wakapoteza kwa mikwaju ya penalti. Licha ya kushindwa kusonga mbele, lakini wachezaji kadhaa…
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Pyramids FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Misri, Fiston Mayele. MSHAMBULIAJI wa Timu ya Taifa ya Jamhuri ya…