HESLB Yafungua Dirisha la Mikopo, Waombaji Kutambuliwa Hivi
Bodi ya mikopo yafungua dirisha la maombi kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kiasi cha Sh917 bilioni zikitengwa, pia ikitoa utaratibu wa jinsi ya kuomba.Dar es Salaam. Kiasi cha Sh916.7 bilioni…