HII SASA KALI RAIS YANGA AWAPIGA DONGO SIMBA…”UNATIMUA WACHEZAJI KWA HISIA TU
Rais klabu ya Yanga, Hersi Said amesema wakati wa usajili kama muhusika asipokuwa na uelewa kuhusu wachezaji anaweza kumsajili hovyo ama kufukuza wachezaji bila sababu ya msingi. Hersi amesema hayo…