Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Paul Makonda Ateuliwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
HABARI ZA MICHEZO

Paul Makonda Ateuliwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

January 9, 2026January 9, 2026 ajirayako

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Paul Christian Makonda kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, akichukua nafasi ya Prof. Palamagamba John Aidan Kabudi ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum).

Uteuzi huo umefanyika hii leo Januari 8, 2026 ambapo kabla ya uteuzi huu, Makonda alikuwa Naibu Waziri katika Wizara hiyo.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Jackpot ya Milioni 200 Yapata Bingwa

October 15, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Cristiano Ronaldo Afikisha Mabao 981, Abakiza Mabao 19 Pekee Kufikia Record ya Mabao 1,000

October 14, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Simbachawene Atenguliwa Uwaziri Mambo ya Ndani
Next: Lulu Diva Afunguka Kumzunguka Wema Sepetu Kwa Whozu

Popular Posts

  • MAMBO Matano ya Mwanamke Kufanya ili Kumteka Mwanaume Kimapenzi

  • KUMEKUCHA: Mwanaume Akikuomba Vitu Hivi 3 Jua Hamna Upendo Hapo Kimbia

  • Makala Nzima Kuhusu Baltasar Ebang Engonga, Mwanaume Aliyefanya Ngono na Wanawake 400 na Kurekodi

  • Baada ya kikao, Yanga imefanya maamuzi haya kwa kocha Manqoba

  • Nchi 10 za Afrika Zinazoongoza Kwa Kasi ya Mtandao wa Internet

  • TMA: Mvua Kutarajiwa Kunyesha Mfululizo Mikoa Hii Saa24 Zijazo Kuanzia Saa3 Usiku

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.