PRINCE DUBE AU ANDY BOYELI MMOJA WAPO KUMPISHA YAO KOUASSI DIRISHA DOGO LA USAJILI
Mlinzi wa kimataifa wa 🇨🇮Ivory Coast na klabu ya Yanga, Yao Attohoula amerejea uwanjani baada ya kukaa nje kwa muda mrefu akiuguza majeraha yake.
Yao hayupo kwenye usajili wa nyota wanaoiwakilisha Yanga kwenye Ligi msimu huu hata hivyo kwa sasa Yanga imepanga kumuondoa mshambuliaji mmoja ifikapo mwezi January ili Yao apate nafasi kikosini.

