Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Sadio Mané Aipeleka Senegal Nusu Fainali AFCON 2025
HABARI ZA MICHEZO

Sadio Mané Aipeleka Senegal Nusu Fainali AFCON 2025

January 14, 2026January 14, 2026 ajirayako

Bao pekee la Sadio Mané limewapa ushindi wa 1-0 dhidi ya Egypt, na kuwafanya Simba wa Milima ya Teranga Senegal kutinga Fainali ya AFCON.

Senegal atakutana kwenye Fainali na timu moja wapo kati ya wenyeji Morocco au Nigeria ambazo zinacheza usiku wa leo.

Senegal leo wametinga Fainali yao ya tatu katika AFCON 4 zilizopita.

FT’ Senegal 1-0 Egypt
⚽️ Mane

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

SportPesa’s Aviator New Limits Attract Millions in Tanzania

February 11, 2026February 11, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Hatimaye Simba Wampa Kibu Denis Mkono wa Kwaheri

February 10, 2026February 10, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Kocha wa Yanga Aomba Kazi Tunisia, Siri Yafichuka
Next: Takwimu za Mchezaji Mpya wa Yanga Allan Okello Zinatisha

Popular Posts

  • Harmonize Aeleza Yote Alivyorudiana na Kajala! Alivyombadilisha “Nafaidika zaidi, Karata ya Mwisho”

  • Hizi Hapa Hesabu Konki za Yanga Kufuzu Robo Fainali Klabu Bingwa

  • Hivi Ndivyo Mtoto wa Gaddafi, Saif al-Islam Alivyouawa Nyumbani Kwake Libya

  • Mangungu Noma na Nusu Awajibu Wanaotaka Ajiuzulu

  • Uhasama Usioisha: Kwanini Donald Trump anamchukia sana Barack Obama

  • Tahadhari ya Mvua Kubwa Mikoa sita, Wananchi Watahadhirishwa Kukaa Kiaskari

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.