Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Sadio Mané Aipeleka Senegal Nusu Fainali AFCON 2025
HABARI ZA MICHEZO

Sadio Mané Aipeleka Senegal Nusu Fainali AFCON 2025

January 14, 2026January 14, 2026 ajirayako

Bao pekee la Sadio Mané limewapa ushindi wa 1-0 dhidi ya Egypt, na kuwafanya Simba wa Milima ya Teranga Senegal kutinga Fainali ya AFCON.

Senegal atakutana kwenye Fainali na timu moja wapo kati ya wenyeji Morocco au Nigeria ambazo zinacheza usiku wa leo.

Senegal leo wametinga Fainali yao ya tatu katika AFCON 4 zilizopita.

FT’ Senegal 1-0 Egypt
⚽️ Mane

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Siri Ya Libasse Gueye Kwenda Yanga Yavuja

September 24, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Ngorongoro Heroes Yatinga Fainali AFCON U20 CECAFA Kwa Kuichapa Burundi 2-0

September 23, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Kocha wa Yanga Aomba Kazi Tunisia, Siri Yafichuka
Next: Takwimu za Mchezaji Mpya wa Yanga Allan Okello Zinatisha

Popular Posts

  • MAMBO Matano ya Mwanamke Kufanya ili Kumteka Mwanaume Kimapenzi

  • Kauli ya Makonda yazua Mapya, Sandaland yatangaza Kuchukua Hatua za Kisheria kwa Kuchafuliwa Jina

  • Aunty Ezekiel na Kusah Wawasha Instagram kwa Picha za Mahaba

  • Mchezaji Sakho Atangaza Kurejea Simba

  • Niffer Afunguka Kuhusu Hali Ya Kiredio “Hayuko Sawa Kwa Sasa”

  • Sakata ni zito! Makonda Kuunda Kamati ya Kuchunguza Mkataba wa Mzabuni wa jezi za Taifa Stars

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.