Nature

Shabiki Maarufu wa Simba Ataka Simba Wasicheze Tarehe 25

Kwa mujibu wa Maamuzi ya uongozi wetu wa @simbasctanzania mechi ya kariakoo derby namba 184 ilipaswa kuchezwa leo majira ya saa 11 jioni Benjamini William Mkapa mara baada ya Bodi ya Ligi kuusogeza mchezo huo mbele Hadi Sasa uongozi upo kimya huku wanachama na mashabiki wa Simba tukibakia njia panda.

Mwenyekiti MURTAZA ALLY MANGUNGU wewe ndio kiongozi wetu wa juu ambaye tunakutegemea tunatamani walau useme neno ambalo litakuja kuponya maumivu na sintofahamu iliyopo katika MIOYO yetu na vichwa vyetu huku mtaani maisha hayaendi kabisa Hali ni mbaya Sema Chochote Vifua vyetu vipate kupumua Mwenyekiti.

#MSIMAMO WANGU HIYO TAREHE 25 NA SISI TUSICHEZE HIYO MECHI NI BORA WACHUKUE HIZO ALAMA TATU KISHA WAMTANGAZE BINGWA WALIYEMUANDAA SISI TUKO TAYARI.

Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *