Simba Wamrudisha Seleman Mwalimu Wydad, Kisa Hichi Hapa

Klabu ya Simba SC imeiandikia rasmi Wydad Casablanca kuwa haina mpango wa kuendelea na huduma ya mshambuliaji Seleman Mwalimu, ambaye alikuwa akicheza kwa mkopo.

Simba imesema haijaridhishwa na kiwango cha mchezaji huyo, na sasa imeitaka Wydad AC kumchukua mara moja huku klabu hiyo ikielekeza nguvu kusajili mshambuliaji mwingine dirisha hili.

Seleman Mwalimu alijiunga na Simba kwa matumaini ya kuimarisha safu ya ushambuliaji, lakini safari yake imefikia tamati mapema.

Related Posts