Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Simba Wamrudisha Seleman Mwalimu Wydad, Kisa Hichi Hapa
HABARI ZA MICHEZO

Simba Wamrudisha Seleman Mwalimu Wydad, Kisa Hichi Hapa

January 20, 2026January 20, 2026 ajirayako

Klabu ya Simba SC imeiandikia rasmi Wydad Casablanca kuwa haina mpango wa kuendelea na huduma ya mshambuliaji Seleman Mwalimu, ambaye alikuwa akicheza kwa mkopo.

Simba imesema haijaridhishwa na kiwango cha mchezaji huyo, na sasa imeitaka Wydad AC kumchukua mara moja huku klabu hiyo ikielekeza nguvu kusajili mshambuliaji mwingine dirisha hili.

Seleman Mwalimu alijiunga na Simba kwa matumaini ya kuimarisha safu ya ushambuliaji, lakini safari yake imefikia tamati mapema.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

The Top 10 African clubs, CAF Club Ranking 2026

May 26, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Mwamba Akataa Wito wa Kuliwakilisha Taifa Lake Kombe la Dunia

May 26, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: TANZIA; Muasisi wa Chadema Afariki Dunia
Next: Waathirika wa Maandamano 29 October 2025 Kupatiwa Matibabu ya Kisaikolojia na Tume

Popular Posts

  • Ukweli Kuhusu Tukio la Ndege Iliyopotea Angani na Kurudi Tena Duniani Baada Ya Miaka 35

  • Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

  • Kazi ya Shanga Kiunoni Mwa Mwanamke

  • Ali Kamwe Amshambulia Vibaya Meena Ally Mitandaoni! Kumuonyesha Rio goli la Chama “tutaharibu”

  • Simba Akwea Kileleni, Chama Nyota Mechi ya 5 Mfululizo

  • Mchungaji Maarufu Nchini Nigeria Awaomba Msamaha Mashabiki wa Arsenal Baada ya Utabiri wa Uongo

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.