UPDATE: PACOME ZOUZOUA
– Menejimenti ya Kiungo Pacome Zouzoua imepokea ofa kubwa kutoka klabu ya Simba SC ili kupata saini yake na inaifanyia kazi ofa hiyo
– Pacome mpaka sasa hajasaini mkataba mpya na Yanga SC na mkataba wake na Wananchi unamalizika mwishoni mwa msimu huu.