Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Simba Yamnasa Nyota wa Kenya, Mohamed Bajaber!
HABARI ZA MICHEZO Sports News

Simba Yamnasa Nyota wa Kenya, Mohamed Bajaber!

August 3, 2025August 3, 2025 Udaku Special

Klabu ya Simba SC imeendelea kuimarisha kikosi chake kwa msimu ujao kwa kumsajili kiungo mshambuliaji kutoka Timu ya Taifa ya Kenya (Harambee Stars), Mohamed Bajaber.

Bajaber (miaka 22), ambaye alikuwa akikipiga Kenya Police FC, amesaini mkataba wa miaka miwili ambao utamuweka Msimbazi hadi Juni 2027.

Ni sehemu ya mikakati ya Wekundu wa Msimbazi kujenga kikosi imara kuelekea msimu mpya wa mashindano ya ndani na kimataifa.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Mchezaji Afungiwa Maisha Kisa Kujihusisha na Kubeti Kwenye Mchezo wa Mpira

March 13, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Beki Rushine De Reuck Atemwa TIMU ya Taifa ya Africa Kusini

March 11, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Tanzania Yamfunga Borkina Faso 2 Bila Mashindano ya CHAN
Next: Magereza Yakanusha Kumsukuma Lissu, Yatoa Maelezo Rasmi

Popular Posts

  • Ripoti ya Ujasusi ya Marekani ilibaini Serikali ya IRAN Haiwezi Kuanguka hata ishambuliwe vipi!

  • Polisi Pwani Kuhusu Bawacha “Walikuwa Wanaenda Kutekeleza Uhalifu”

  • Iran yasema Uwezo wake wa Makombora ni Mkubwa kuliko ‘Maadui’ wanavyodhani

  • Yanga Yalalamika Kuhusu Adhabu na Makosa ya Waamuzi Ligi Kuu

  • Miaka 7 Jela kwa Kutumia Vyeti FEKI vya Marehemu

  • “Mpenzi Wangu Aliniambia Mimi si Mtamu, Maji Maji” Linda Kutoka Dar es Salaam Kulia Kwa Uchungu

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.