Spika Dk.Tulia: Kauli Zinazotolewa na Wabunge Siyo Msimamo wa Bunge
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amesema kuwa kauli na mitazamo inayotolewa na wabunge katika michango yao bungeni haipaswi kuchukuliwa kama msimamo rasmi wa…