Kocha Amorim Akutana na Mabosi wa Man United Baada ya Kichapo Europa League
KOCHA Ruben Amorim alilazimika kusafiri hadi Monaco kwenda kuzungumza na mabosi wa Manches-ter United saa chache baada ya kichapo fainali ya Europa League. Mreno huyo alishuhudia kikosi chake kikichapwa 1-0…