Msemaji wa Serikali Kenya: Tanzania Ina Haki Kuwafukuza Kina Martha Karua
Msemaji wa serikali Isaac Mwaura amesema Tanzania ilitenda kwa mujibu wa haki yake ya uhuru kwa kuwafukuza watu kadhaa wa kisiasa na wanaharakati wa Kenya, na kuongeza kuwa Kenya haikuwa…