Taifa Stars Yafungwa Vibaya na Nigeria Super Eagles, Yashika Nafasi ya Mwisho

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeshindwa kupata ushindi kwenye mchezo wa tatu mfululizo wa kuwania kufuzu Kombe la Mataifa Afrika AFCON 2027 baada ya kukubali kichapo cha 3-1 ugenini dhidi ya Nigeria ‘Super Eagles’ kwenye mchezo wa Kundi L.

Super Eagles wapo nafasi ya pili kwenye msimamo wa Kundi hilo alama 6 baada ya mechi tatu wakati Stars wakiwa mkiani mwa Kundi L alama moja baada ya mechi tatu. Guinea Bissau wapo kileleni mwa kundi hilo alama 7 huku Madagascar ikiwa nafasi ya tatu, alama moja baada ya mechi tatu.

FT Nigeria 🇳🇬 3-1 🇹🇿 Tanzania
⚽ 02’ Alhassan Yusuf
⚽ 52’ Tolu
⚽ 60’ Tolu
⚽ 32’ Alphonce Msanga

Related Posts