TETESI: Inadaiwa wawakilishi wa Fulham walihudhuria mechi ya Tanzania vs Nigeria na kuvutiwa na kiwango cha Ibrahim Bacca wa Yanga, na tayari wameonyesha nia ya kuzungumza naye kuhusu dili, ingawa bado hawajafanikiwa.
Je watafanikiwa kuinasa saini ya Bacca
