Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya 🇲🇱Mali Tom Saintfiet anaamini timu yake inaweza kutwaa ubingwa wa AFCON bila kupata ushindi wa aina yoyote ile.
“Tunaweza kubeba ubingwa wa AFCON bila kushinda mchezo wowote.”
- Tom Saintfiet, kocha mkuu wa Mali.
Mali hadi hizi sasa;
- 1-1 vs Zambia
- 1-1 vs Morocco
- 0-0 vs Comoros
- 1-1 vs Tunisia.
