Jina langu ni Alex. Kutawaliwa na ulevi wa pombe na sigara ni kifungo kibaya kinachoweza kukuvua heshima, kukuharibia afya, na kukufilisi kimaisha huku ukijiona.
Kwa zaidi ya miaka mitano, maisha yangu yalitawaliwa kabisa na matumizi ya pombe kali na uvutaji wa sigara kupita kiasi. Kila siku nilikuwa nikitumia pesa zote nilizopata kwenye vilabu vya pombe, nikisahau kabisa majukumu ya familia na maendeleo yangu.
Kazini nilianza kuchelewa, kutoonekana, na kufanya makosa ya mara kwa mara yaliyofanya mabosi wangu kunipa barua za mwisho za kunifuta kazi. Mke wangu na watoto waliteseka kwa kukosa mahitaji ya msingi, na jamii yote ilianza kunidharau na kuniona kama mtu aliyefeli kabisa maishani.
Nilijaribu mara nyingi kuacha kwa nguvu zangu mwenyewe, lakini kila siku nilijikuta narudia tabia hiyo kwa kasi zaidi.
Nikiwa kwenye msongo mkubwa wa mawazo na afya yangu ikizorota kwa kasi, dada yangu mkubwa aliyekuwa akifadhaishwa sana na hali yangu alinitembelea.SOMA ZAIDI.
