Walipisha Kodi Walipishwa Kodi na SIMBA, Mabao Matatu

Walipisha Kodi Walipishwa Kodi na SIMBA, Mabao Matatu
Walipisha Kodi Walipishwa Kodi na SIMBA, Mabao Matatu

Timu ya Simba imeichapa TRAUnited magoli 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo na hivyo kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kukimbizana na #Yanga (inaongoza ligi, pointi 38 michezo 16) katika kuwania ubingwa.

Matokeo hayo yanaifanya Simba ambayo imefikisha michezo 14 kushika nafasi ya pili kwa kuwa na alama 29 wakati TRA United ambayo inamilikiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imebaki nafasi ya 10 kati ya timu 16 ikiwa na pointi 20 katika mechi 16.

Related Posts