Kuna wakati wizi hauishi kwa vilio na hasara tu, bali huacha fundisho la ajabu kwa wahusika wote. Hii ni hadithi ya Amina, mama wa watoto watatu kutoka Embakasi, ambaye aliamka asubuhi moja na kukuta nyumba yake imevunjwa, televisheni, simu mbili na pesa za biashara zimepotea. Lakini kilichofuata hakikuwa cha kawaida.
Amina ni mfanyabiashara wa mitumba. Alikuwa ameweka pesa za kusafiria…SOMA ZAIDI
