Wananchi, Young Africans Sc wametinga fainali ya kombe la NMB Mapinduzi 2026 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Singida Black Stars kwenye nusu fainali katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar.
Yanga Sc watachuana na Azam Fc waliotinga hatua hiyo kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Simba Sc kwenye nusu fainali nyingine iliyopigwa jana.
FT: Singida Black Stars 0-1 Yanga Sc
⚽ 54’ Maxi
🟥 Damaro
🟥 Chukwu
