Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Yanga Wamfuata Azam Fainali Kombe la Mapinduzi
HABARI ZA MICHEZO

Yanga Wamfuata Azam Fainali Kombe la Mapinduzi

January 10, 2026January 10, 2026 ajirayako

Wananchi, Young Africans Sc wametinga fainali ya kombe la NMB Mapinduzi 2026 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Singida Black Stars kwenye nusu fainali katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar.

Yanga Sc watachuana na Azam Fc waliotinga hatua hiyo kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Simba Sc kwenye nusu fainali nyingine iliyopigwa jana.

FT: Singida Black Stars 0-1 Yanga Sc
⚽ 54’ Maxi
🟥 Damaro
🟥 Chukwu

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Hispania Yatinga Fainali ya Kombe la Dunia kwa Kuifunga Ufaransa 2-0

July 15, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Kisa Kugomea Medali, Azam FC Yapigwa Rungu na TFF

July 14, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Alichokisema Ali Kamwe Baada ya Simba Kufungwa na Azam
Next: Clemence Mwandambo Afikishwa Mahakamani, Aachiwa Kwa Dhamana

Popular Posts

  • Ukweli Kuhusu Tukio la Ndege Iliyopotea Angani na Kurudi Tena Duniani Baada Ya Miaka 35

  • Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

  • Kazi ya Shanga Kiunoni Mwa Mwanamke

  • Ukweli Uliojificha Kuhusu BANGI, Je Ina Madhara Kwa Binadamu?

  • Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH shariff majini Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

  • Habari Njema Kwa Matatizo Sugu ya Afya, Muone Dr Suleiman Kombo Anatibu kwa Tiba Asili

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.