
Mnakumbuka kilichotokea kwa Mabedi na Roman Folz? Pedro anavutiwa pumzi tu.
Kama Yanga walitaka kutoa tathmini ya matatizo yao, imekuwaje suala la usajili kufeli si sehemu ya sababu?
Karibia nakala yote inaeleza shida ya ratiba na majeraha. Niambie lini Yanga wamepanda basi kwenda mechi za mikoani?
Njoo hapa uniambie lini Tz Prisons wamepanda ndege kwenda mkoa mwingine?
Ila kwa kuwa Yanga wanajua mashabiki wa Bongo na akili zao na namna ya kucheza nazo, wanajiviringa tu, then upepo utatulia—maisha yataendelea 📌
Ninachojua, Moalin atakuwa kocha msaidizi, ila si chini ya Pedro—tunzeni hii 📌
Wafia timu watamind 👐
✍️KALAMU YA USHAHIDI
@Cheyolutenganotz
