Yanga Watuma Salamu Kwa Mtani wao Dabi ya Oktoba 10

Yanga Watuma Salamu Kwa Mtani wao Dabi ya Oktoba 10
Yanga Watuma Salamu Kwa Mtani wao Dabi ya Oktoba 10

Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara, Young Africans SC wametoa matokeo yao ya mechi ya kirafiki dhidi ya Maafande wa JKT Tanzania wakishinda 2-0 katika uwanja wa Gymkhana Dar es Salaam.

Mabao ya Wananchi yametiwa kimiani na Clement Mzize na Sheikh Ibrahima Touré, Wananchi wakituma salamu kwa watani zao Simba SC kuelekea mchezo wao wa Dabi ya Kariakoo utakaopigwa Oktoba 10, 2026.

FT: Yanga SC 2-1 JKT Tanzania
⚽ Clement Mzize
⚽ Cheikh Toure

Related Posts