Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Yanga Yapigwa Faini Kisa Ushirikina
HABARI ZA MICHEZO

Yanga Yapigwa Faini Kisa Ushirikina

December 17, 2025December 17, 2025 ajirayako

Klabu ya Yanga imelimwa adhabu ya million tano (5,000,000) kwa kosa la shabiki wake kuonyesha kitendo cha kishirikina kwenye mchezo wa Ligi kuu dhidi ya Coastal Union (0-1).

Ripoti inaeleza kuwa shabiki wa klabu hiyo alienda kutoa kitu kwenye lango la Coastal Union kwenye mchezo ambao Yanga walikuwa wageni uliopigwa kwenye dimba la Jamhuri Jijini Dodoma.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Sudan Mabingwa CECAFA U-20 Baada ya Kuifunga Tanzania Kwa Penati

September 25, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

DR Congo, Namibia Waanza Kwa Ushindi Kufuzu AFCON 2027

September 25, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Nigeria Yapata Tumaini Jipya DR Congo Matatani Kwa Wachezaji Haramu Kufuzu Kombe la Dunia
Next: Donald Trump Aiongeza Tanzania Kwenye Vikwazo vya Kuingia Marekani

Popular Posts

  • MAMBO Matano ya Mwanamke Kufanya ili Kumteka Mwanaume Kimapenzi

  • Hizi Hapa Faida Kubwa za Bamia Mwilini mwa Binadamu

  • Ommy Dimpoz avunja ukimya! Amjibu Dudu baya kumuita “chakula”, Apondwa Dudu Baya kwa alichofanya

  • Ukweli wote kuhusu Dotto Magari kupima UKIMWI live Arusha, Adai MI.800 kwa Cherry, amtaja Mwijaku

  • Yanga Yatozwa Faini ya Milioni 5, Afisa Usalama Apelekwa Kamati Ya Maadili

  • Elizabeth Makune Aibuka Miss Universe Tanzania 2026

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.