Mchezo umemalizika kwa sare ya 1-1 katika Dimba la New Amaan Complex, Zanzibar huku Al Ahly wakibaki kileleni wakiwa na pointi 8, huku Yanga na wao wakisalia nafasi ya pili kwenye kundi wakiwa na pointi 5.
🇹🇿 YANGA SC 1️⃣-1️⃣ AL AHLY 🇪🇬
41+1’ Ibra Bacca ⚽
60’ Aliou Dieng ⚽
