Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Wananchi wa Senegal Wameanzisha Kampeni ya Kumchangia Kocha Faini
HABARI ZA MICHEZO

Wananchi wa Senegal Wameanzisha Kampeni ya Kumchangia Kocha Faini

January 30, 2026January 30, 2026 ajirayako

Wananchi wa Senegal wameanzisha kampeni ya kuchanga ili kulipa faini ya dola za Marekani 100,000 ($100,000) iliyopigwa kocha wao Pape Thiaw baada ya fainali ya AFCON 2025 dhidi ya Morocco.

Mpaka sasa, kampeni hiyo imeshakua na zaidi ya dola za Marekani $4,300 sawa na FCFA 2,400,000, Kwa shilingi za Kitanzania ni milioni 10.9

Hata hivyo Pape Thiaw amewashukuru na amewaomba michango hiyo wapewe watu wenye uhitaji.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Wachezaji Wa Simba SC Walioitwa Timu Zao Za Taifa

March 25, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

HATIMAYE Mchezaji Mo Salah Atangaza Kuachana na Liverpool

March 25, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Mume Wangu Aliniambukiza Ugonjwa Hii Ndiyo Njia Niliyomrejesha Mbele Ya Makosa Yake
Next: Kitambaa Cha Uchawi Nilichokipata Kiliibua Matukio Ambayo Nilikuwa Sikuweza Kuona

Popular Posts

  • Mbinu 5 za Kumfanya Mwanaume Ageuke Kuwa Sumaku Kwa Wanawake

  • Mbinu Nzuri Ya Kutongoza Kwa Wale Wanaoanza Kujifunza

  • Drogba Atoa Kauli Kupokonywa UBINGWA Senegal

  • Rais wa Senegal Atuma Salamu CAF, Atishia Kugomea Mashindano

  • Wastara Amlipua Vibaya Dudu Baya Baada ya Kumuita “Ombaomba” Amwambia haya mazito “uweke na namba”

  • Kazi ya Shanga Kiunoni Mwa Mwanamke

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.