Rais wa CAF Dkt.Patrice Motsepe amesema alifurahi sana kuiona Tanzania ilivyocheza mechi zake pale Nchini Morocco katika Mashindano ya AFCON 2025 katika mchezo wake dhidi ya Morocco.
Ameyasema hayo akizungumza na waandishi wa habari baada ya mkutano wa utendaji wa CAF uliyofanyika leo Februari 13 katika hotel ya @hyatt_kilimanjaro ambapo amesisitiza kwamba Tanzania imeonesha maana halisi ya ukomavu.
Aidha Dkt.Motsepe amesisitiza Tanzania walichokionesha pale nchini Morocco wanatakiwa wakifanye pia hapa Tanzania kwakuwa AFCON
