Timu ya Mamelodi Sundowns Wamtaka Elie Mpanzu wa Simba

Timu ya Mamelodi Sundowns Wamtaka Elie Mpanzu wa Simba
Timu ya Mamelodi Sundowns Wamtaka Elie Mpanzu wa Simba

Timu ya Mamelodi Sundowns Wamtaka Elie Mpanzu wa Simba

Winga machachari wa Simba SC raia wa DR Congo, Elie Mpanzu, ameripotiwa kuingia kwenye rada za miamba ya soka barani Afrika, Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.

Kasi yake ya ajabu, chenga za kuudhi, pamoja na uwezo mkubwa wa kuamua matokeo ya mechi ngumu, vimevutia maskauti wa “Masandawana” ambao wanatafuta kuimarisha kikosi chao kwa ajili ya mashindano ya kimataifa.

Taarifa za Ndani:
Sundowns wamekuwa wakimfuatilia Mpanzu kupitia mechi za Ligi Kuu ya NBC pamoja na michuano ya CAF, ambapo kiwango chake bora tangu ajiunge na Wekundu wa Msimbazi kimeudhihirishia ulimwengu wa soka kuwa ni mmoja wa mawaing’a hatari zaidi ukanda huu.

Related Posts