Naitwa Sylvester, mkazi wa zamani wa wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam. Kwa miaka mitano nilikuwa nimefungua ofisi ya stationary (huduma za kompyuta na kupiga picha). Licha ya kuwa katikati ya vyuo na ofisi nyingi, duka langu lilikuwa kama limepakwa pilipili; wateja walikuwa wakichungulia na kupita zao.
Nilikuwa naishi maisha ya ajabu, nakula mlo mmoja kwa siku – tena usiku kama daku – ili tu nisife na…SOMA ZAIDI
